Recent Posts

Jumatatu, 16 Februari 2015

Ni siku ya tarehe 15/02/2015 ambapo mzee Ebby Sykes, baba wa mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva Dully Sykes alipofariki karika Hospitali ya Muhimbili. Leo mwili wake umepumzishwa katika makazi yake ya milele kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam.
IMG_0726
Dully Sykes akiwa na wasanii wenzake TID , Jafarrai na Mr. Blue pamoja na mtoto wa Dully Sykes
IMG_0759
Wasanii mbalimbali pamoja na watu wa karibu wa Dully wakiwa pamoja kabla ya kwenda kuzika
IMG_0788
Mkuu wa Mkoa pamoja Jaji Warioba na kaka wa marehemu mzee Sykes (kulia)
IMG_0735
IMG_0747
IMG_0766
IMG_0773
IMG_0776
IMG_0779
IMG_0780
IMG_0782
IMG_0785
IMG_0792
IMG_0793Mazishi hayo yalihudhuriwa na Viongozi mbalimbali kam vile Jaji Warioba , Mkuu wa Mkoa, Ridhiwan Kikwete , Jaji mkuu wa Zanzibar pia na wasanii wa Bongo Flava kama Ali Kiba ,Mr Blue , Rich Mavoko, Kassim Mganga, TID, na wengine wengi pia wasanii wa Bongo Movie pia  walikwepo kama Ben, Rich na wengine wengi.
IMG_0795
IMG_0797
IMG_0805
IMG_0811
IMG_0820
IMG_0826
IMG_0828
IMG_0830
IMG_0836
IMG_0841
IMG_0846
IMG_0855
IMG_0855-001
IMG_0856
IMG_0859
IMG_0869
IMG_0872
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema apumzike kwa amani.

MATUKIO KATIKA MSIBA WA BABA YAKE NA DULLY SYKES,MZEE EBBY SYKES

Jumatatu, 19 Januari 2015

Baada ya Mwisho wa wiki iliyopita mwanamuziki mashuhuri anaeibebea sifa kubwa ya kimataifa nchi yetu Diamond Plutnumz kujinyakulia tuzo tatu katika tuzo za Channel O zilizofanyika Africa kusini,leo amerudi nchini na kutua uwanja wa ndege wa JK Nyerere saa nane mchana na kupokelewa na umati mkubwa wa mashabiki wake.










Mapokezi Ya Diamond Kutokea South Africa


Kilichojiri Kwenye Uzinduzi Wa Video Ya Kala Jeremiah- Usikate Tamaa!!!


Nusu fainali za Ndondo Cup zimeendelea leo katika viwanja vya bandari vilivyoko maeneo ya Tandika Mwembe Yanga na kumalizika na ushindi wa mabao 3-1 yaliofungwa na timu ya Abajalo FC dhidi ya Burudani FC.

Nusu Fainali Ya Pili Ya Ndondo Cup, Burudani FC Vs Abajalo FC

Yaliyojiri Ndondo Cup Nusu Fainali, Tabata Fc na BlackSix