Jumatatu, 19 Januari 2015

Thai Village: Ijumaa Ya Kwanza Baada Ya SkyLight Band Kurejea Kutoka Uarabuni!!!

IMG_6694

Band inayofanya vizuri hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki Sky Light Band ilisafriki kuelekea nchini Oman kwa ajili ya kufanya show iliyofanyika siku ya Eid Jumapili 5 Oktoba 2014, show ilifanyika katika Ukumbi wa Ras Al Harma Reaction Center kwa mafanikio makubwa. Band hiyo imerejea jijini Dar es salaam  siku ya Jumanne 7 Oktoba 2014, Skylight Band inaendelea na ratiba ya show zake kama kawaida hapa Tanzania na leo Ijumaa 10 Oktoba 2014 ni Ijumaa ya kwanza ndani ya Thai Village Masaki baada ya kurejea kutoka Oman. Siku ya Jumapili Skylight Band inakuwa Escape One Mikocheni.

Digna Mbepera na Anneth Kushaba
IMG_6687
Joniko Flower na Soni Masamba
kIMG_6688IMG_6689IMG_6690
Daudi Tumba kwenye drum na Imma Base akiwa na gitaa
IMG_6693IMG_6694IMG_6695
Digna Mbepera
IMG_6696IMG_6697IMG_6698IMG_6699IMG_6700
Mashabiki wa Skylight Band
IMG_6701  IMG_6703 
Muandaaji wa Miss Arusha Mwandago
Upendo, Tracy, Tira na Katy