Jumatatu, 19 Januari 2015

Mapokezi Ya Diamond Kutokea South Africa

Baada ya Mwisho wa wiki iliyopita mwanamuziki mashuhuri anaeibebea sifa kubwa ya kimataifa nchi yetu Diamond Plutnumz kujinyakulia tuzo tatu katika tuzo za Channel O zilizofanyika Africa kusini,leo amerudi nchini na kutua uwanja wa ndege wa JK Nyerere saa nane mchana na kupokelewa na umati mkubwa wa mashabiki wake.













Baada ya kutua Diamond akiwa njiani kuelekea Escape 1 kwenye mkutano na waandishi wa habari alisindikizwa na Mashabiki wake na kupitia Buguruni,Kariakoo.Hizi ni baadhi ya Picha ilivyokua









Washabiki wa Diamond wakisindikiza msafara kuelekea Escape 1





Rommy Jones akiwa kwenye uskani wa gari alilopanda Diamond




Huku mziki ukiwasindikiza













Washabiki wakimtaka Diamond ashuke na kutembea nao




Askofu ripota wa Millard Ayo akimhoji Diamond

Baada ya kuzunguka toka Uwanja wa ndege mpaka kariakoo msafara ulielekea Escape 1 ambapo Diamond akienda kufanya mkutano na waandishi wa Habari.


Diamond akiwa sambamba na Meneja wake Bau Tale



Tuzo tatu alizochukua Diamond













Meneja mwingine wa Diamond Mkubwa Fela





Meneja Babu Tale



Baadhi ya mashabiki wa Diamond wakisikiliza kwa makini






Mwakilishi kutoka DSTV akiongea yake



Watu wanashangilia "TemboTemboTembo"









Picha na Octavian Francis