Jumatatu, 19 Januari 2015

Nusu Fainali Ya Pili Ya Ndondo Cup, Burudani FC Vs Abajalo FC


Nusu fainali za Ndondo Cup zimeendelea leo katika viwanja vya bandari vilivyoko maeneo ya Tandika Mwembe Yanga na kumalizika na ushindi wa mabao 3-1 yaliofungwa na timu ya Abajalo FC dhidi ya Burudani FC.




Pia michezo ya kucheza na nyoka ilihusika na huyu ni moja ya washabiki wa timu ya Abajalo Fc.





Washabiki wa Ndondo Cup wakiwa wanafatilia kwa makini mchezo huo baina ya Burudani FC vs Abajalo FC





Mtangazaji wa Clouds Shaffi Dauda na mwenzie Maestro wakifatilia mechi kwa mikini



Mmoja wa washabiki wa Burudani FC alietia fola kwenye mashindano hayo











Waamuzi wakijadiliana machache kabla ya kuanza kipindi cha pili


"Toroka Uje"

Kocha wa Burudani FC akitoa mawaidha kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko







Wachezaji wa Abajalo FC wakimsikiliza kocha wao akiwapa mbinu za uwanjani






Mbwiga akifanya yake huku akiwa amezungukwa na washabiki kibao


Kocha wa Abajalo FC akizungumza na kipaza cha Clouds TV


Kocha wa Burudani FC maarufu kwa jina la kocha kijana akiongea na Mbwiga baada ya mechi kuisha